"Wanakumbukwa kwa kuwa walikuja, wakatenda mema na hatimaye wakaondoka". Mimi na wewe tutakumbukwa kwa yapi?. Ni muda muwali sasa kwa mada jadidi kutekelezwa kwa vitendo
na si lelemama. Naamini Tanzania yetu itafanikiwa.
frankly speaking the former presidaa.had made it..in terms of economy for our country. the Got. have enough money, people allowed to borrow from bank baada ya kumilikishwa mali walizonazo, the Got. was free from external and internal Debts, wafanyakazi waliheshimika, bei za bizaa ikiwemo vyakula havikupanda kwa muda wote wa uongozi wake, shs. ilikua stable - KWA SASA HAKIKA INASIKITISHA SANA.
"Ni bora umwambie mtu ukweli kuliko kumpaka mafuta". Kumbuka; msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Tujiepushe na rushwa na tuipige vita takrima (tips). Tukaze moyo naamini tutafika.
2 comments:
frankly speaking the former presidaa.had made it..in terms of economy for our country. the Got. have enough money, people allowed to borrow from bank baada ya kumilikishwa mali walizonazo, the Got. was free from external and internal Debts, wafanyakazi waliheshimika, bei za bizaa ikiwemo vyakula havikupanda kwa muda wote wa uongozi wake, shs. ilikua stable - KWA SASA HAKIKA INASIKITISHA SANA.
umepotea
Post a Comment