Ujumbe!

"Wanakumbukwa kwa kuwa walikuja, wakatenda mema na hatimaye wakaondoka". Mimi na wewe tutakumbukwa kwa yapi?. Ni muda muwali sasa kwa mada jadidi kutekelezwa kwa vitendo na si lelemama. Naamini Tanzania yetu itafanikiwa.
Posted by
MTANZANIA.
at
1:10:00 PM
2 comments:
Ngojea tuangalie kama hii nayo sio nguvu ya soda!Maana siye Watanzania kwa kuanzisha jambo tu , hatujambo!Lakini kulifuatilia hasa likifikia anga ngumu , hatuna rekodi ya uhakika
Simon,
Ila safari hii naona ka wakubwa wapo serious. Ila tusubiri tutaona.
"penye nia pana njia"
Post a Comment