"Wanakumbukwa kwa kuwa walikuja, wakatenda mema na hatimaye wakaondoka". Mimi na wewe tutakumbukwa kwa yapi?. Ni muda muwali sasa kwa mada jadidi kutekelezwa kwa vitendo
na si lelemama. Naamini Tanzania yetu itafanikiwa.
"Ni bora umwambie mtu ukweli kuliko kumpaka mafuta". Kumbuka; msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Tujiepushe na rushwa na tuipige vita takrima (tips). Tukaze moyo naamini tutafika.
4 comments:
Sijapita muda hapa.Picha safi,pembeni ni kama inachomwa mishikaki.
mKUU UMEPOTEA KAMA MACHOZI YA SAMAKI.NAMWONA KWA MBALI MAMA MK. VIPI MKUU TUWASILIANE BWANA HATA KAMA UNA MAJUKUMU YA KULEA WATOTO.
Ama kweli Mkuu umepotea!:-(
Kila lakheri mkuu katika yote ushughulikayo nayo !
KWANINI BLOGG YAKO USIITE TANGANYIKA BLOGG ? UNAOGOPA KUJIITA AU KUJITAMBULISHA KUWA WEWE NI MTANGANYIKA ?
Post a Comment