Wednesday, April 25, 2007

Hongera Tanzania kwa kutimiza miaka 43 ya Muungano!

4 comments:

Simon Kitururu said...

Mimi imenishinda kupongeza huu muungano kutokana na afya yake kuwa mbovu

Anonymous said...

Salimu!
Too much yeboyebo. Au na ww ni yeboyebo nini?

Lakini umepamba kweli hili jumba.

Mkurabita.

MTANZANIA. said...

Simon! Kumbuka hata mgonjwa aliye taabani huwa anafarijiwa. Sasa mimi naona pamoja na afya mbaya ya bwana Muungano Tanzania ni vema ungemfariji na pia ungempatia ushauri mbadala wa kuirejesha afya yake ktk hali nzuri.

Duh! Mkukuta!
Naamini "kupanga ni kuchagua". Nilivyopanga ndiyo nilivyochagua. Una uhuru wa kusema chochote nami nakubaliana na ww. However inawezekana kabisa kwamba hizo ni hisia zako au ni ukweli. Tusubiri na tutaona.

sedouf said...

hawa majeshi wanawakilisha utumwa hapa
iweje jeshi asindikizwe kwa miamvuli ya kukinga mvua/
huyu ni jeshi ama........
ikiwa anaogopa hata mvua jee ataweza kupambana na uvamizi huyu.
aibu!!!

kwa upande wa muungano hapa hakuna cha kupongezwa.
huu si muungano bali ni uvamizi wa nchi moja kwa mwengine.