Tuesday, April 3, 2007

Kama vile ice-cream za Bakhresa!

Biashara ya kuuza barafu (ice-cream) ni maarufu sana katika jiji la Dar-es-Salaam. Pichani ni biashara kama hiyo katika jiji la New York. Kwa ujumla mazingira ya biashara hii jijini NY yanafanana kabisa na yale ya jijini Dar-es-Salaam.

2 comments:

Vempin Media Tanzania said...

Yeesss kaka hivi hapa ni barabara ya ngapi vile, kama siyo ile ya tano au broadway basi itakuwa ni sixth nimepetiaaa au?? any way mambo vipi lakini kaka maisha yaendaje, nadhani kinachotoke kwetu ni reflection ya huko kwenu majuu.

MTANZANIA. said...

Charahani,
Bila shaka umepatia. Hapo ni Broadway.

Ni kweli sayansi na teknolojia imechangia sana kuifanya dunia kuwa kama kijiji. Mambo mengi yanayofanyika ktk nchi zilizoendelea pia yanafanyika ktk nchi zinazoendelea. Hata mm naamini kwamba yafanyikayo ktk nchi yetu ni "reflection" ya yanayofanyika katika nchi tajiri.