Sunday, April 8, 2007

Yupi bora, Raisi mzee au kijana?

Raisi Abdulwaye Wade wa Senegal. Staili yake ya kunyoa ni ya kipekee miongoni mwa viongozi wa juu.

2 comments:

Anonymous said...

Duh! Presidaa anapiga para. Lakini anapendeza ki-aina. Mbona anafana na Mugabe au ndo walewale?

Simon Kitururu said...

Saili ya nywele za ntu mara nyingi zina rahisisha watu kutafsiri kirahisi.Lakini nahisi mara nyingi watu wengi wanaweka nywele zao ili kutotengana na jamii yao au kutokana na kionekanacho kufaa katika jamii.Nadhani kuna watu kibao hawajaribu kuwa na staili ya nywele waitakayo kutokana na masharti ya jamii. Uzee wa mtu si sababu.Kiongozi mzuri ni mzuri tu na mbaya ni mbaya tu.Lakini ningependa kuona viongozi vijana wakipewa nafasi.