Saturday, April 28, 2007

Kitu hicho!

Ama hakika Teknolojia inakua kila uchao! Hiki kifaa sijui kinaendaje. Wasiwasi wangu ni pale tu kitakapokwaruzwa kama si kugongwa. "weekend njema".

2 comments:

Simon Kitururu said...

Mtanzania eeh!Mbona sikuamini kwa hili?Nahisi unajua linaendaje:-)!

MTANZANIA. said...

Ok Simon,
Ngoja nicheki mstarini.