Waweza usiamini, ila ndo ukweli!
Pichani ni makazi ya watu katika mji wa Nashville-TN. Picha nyingi kutoka nchi zilizoendelea huwa ni za kuonyesha mazuri il-hali kutoka Afrika ni za kuonyesha mabaya. Anyway, ninachotaka kukiwakilisha hapa ni kwamba si kila kitu ni shwari katika nchi zilizoendelea kama hii picha ya makazi ya watu katika mji wa Nashville-U.S inavyothibitisha.
1 comment:
Wengi tulio katika nchi zinazoendelea huwa tunafikiri kila kitu ni tambarale ktk nchi zilizoendelea. La hasha sasa nimepata picha. Nasikia pia kuna ombaomba, mwagine picha zao kama mnazo.
Nimependa ulivyomix rangi ktk blog yako.
Post a Comment