Friday, February 16, 2007

Gari linapokwama kwenye tope la theluji!

Wakati tatizo kubwa katika nchi yetu ni barabara mbovu zinazosababisha magari kukwama, kwa wenzetu hali huwa tete katika msimu wa barafu. Barabara nyingi huwa zimefunikwa na tope la barafu kama inavyoonekana pichani. Huo ni mtaa wa Chuo kikuu cha New York.

6 comments:

Anonymous said...

Barafu ka mchanga wa pwani vile. Hawana haja ya kwenda beach.

AFRICAN LIZ said...

Hey Mtanzania, thanks for stopping by my blog. I will endeavour to keep it both entertaining and informative. I like your blog as it helps me improve my swahili :))) and get informed on the current events in TZ.

regards
Liz

Kibunango said...

Kuna utata kwenye hilo bandiko... Nijuavyo mimi barufu ni "ice" Ilhali "snow" ni theruji.

MTANZANIA. said...

Asante kaka Kibunango kwa changamoto.

Anonymous said...

Sasa na wewe Kibunango siyo "theruji" ila ni "theluji". Unakosoa kumbe na ww unachapia!!!

Kibunango said...

Mkemia:
Tatizo nimehusu Mikoa ya kanda ya Ziwa!