"Wanakumbukwa kwa kuwa walikuja, wakatenda mema na hatimaye wakaondoka". Mimi na wewe tutakumbukwa kwa yapi?. Ni muda muwali sasa kwa mada jadidi kutekelezwa kwa vitendo
na si lelemama. Naamini Tanzania yetu itafanikiwa.
Beki mahiri wa timu ya soka ya taifa (taifa stars), Shadrak Nsajigwa akiumiliki mpira mbele ya mchezaji wa Tigres du Brasil katika moja ya mechi za kujiandaa kabla ya kukabiliana na Senegal. Katika mechi hiyo Stars ilala kwa bao 1-0.
"Ni bora umwambie mtu ukweli kuliko kumpaka mafuta". Kumbuka; msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Tujiepushe na rushwa na tuipige vita takrima (tips). Tukaze moyo naamini tutafika.
1 comment:
Huyo ndiye FUso! Ukimpita jipongeze.
Post a Comment